Wataalamu wa lishe wanasema samaki ni chakula kizuri kwa afya. Lakini sasa wanasayansi na wataalam wanasema kwamba wanawake wajawazito wanapaswa kula kitoweo hiki kwa kiasi kidogo. Wakati ambapo ...
Muuzaji wa samaki Mechak Juma anapendelea kutowaambia wateja wake samaki anazouza zinatoka Uchina. Tuko katika soko kubwa zaidi la samaki katika mji wa Kisumu, magharibi mwa Ziwa Viktoria, ziwa kubwa ...
Rhoda Mwende holds a parent catfish she uses to breed fingerlings, on her land in Kanyonga village, Mbeere, Kenya. TRF/Isaiah Esipisu MBEERE, Kenya (Thomson Reuters Foundation) – Wakulima katika ...
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imeonya kuhusu hatari iiliyopo katika wakati ambapo theluthi ya bahari duniani ikikakabiliwa na athari za uvuvi uliopitiliza, huku mahitaji ya samaki yakisalia kuwa juu ...
Wafanyabiashara wa samaki katika soko la samaki la Kimataifa la Ferry Jijini Dar es Salaam wameelezea kusuasua kwa biashara zao siku chache baada ya kuripotiwa mabadiliko ya hali ya hewa na viuashiria ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results